--- Article Removed ---
*** *** *** RSSing Note: Article removed by member request. *** ***
View ArticleMWANAMKE LIBYA ALIVYOLIPA GHARAMA KWA KUMFUATA KRISTO MAISHANI MWAKE
Wanawake wa Kikristo dhehebu la Coptic Libya wakiomboleza kuuwawa kwa waume zao ©CharismanewsJina lake anaitwa Maizah alikuwa hana jinsi zaidi ya kukimbia nchini kwake Libya kwenda mafichoni. Alipigwa...
View ArticleUSHUHUDA: IMANI YAMPONYA UGONJWA WA SARATANI
©YouTube ScreengrabHakika Neno litasimama, mambo yote yatapita lakini neno litasimama. Ushuhuda huu ni wa mwanamama mmoja aliyepata uponyaji wa ugonjwa wa saratani ambao ulikuwa umemfika ukingoni na...
View ArticleSOMO: SIKUWAMBIA ITAKUWA RAHISI - MCHUNGAJI KILIMA
SOMO: SIKUWAMBIA ITAKUWA RAHISINa: Mchungaji John KilimaJoshua 1:1-Joshua naye alikuwa mpiganaji, aliwahi kupigana na Waamaleki hivyo alikuwa hodari. Nchi ambayo walikuwa wanaenda kuimiliki wana wa...
View ArticleCHAGUO LA GK WIMBO KUTOKA KWA MAGWIJI WA MUZIKI WA INJILI NCHINI CONGO
Wimbo ambao tumekuchagulia siku ya leo ni Asifiwe, utunzi wake gwiji wa muziki wa injili nchini Congo marehemu Charles Mombaya ambaye pia ndiye aliyeanzisha wimbo huu, katika video iliyopewa jina la...
View ArticleWAUZA CD FEKI WAPEWA SIKU 30 KUACHA BIASHARA ZAO
Maafisa usalama pamoja na Msama katika moja ya oparesheni mwaka 2014 ©Michuzi Matukio BlogMwezi mmoja umetolewa kwa ajili ya usitishwaji wa kuuza kazi feki za wasanii mbalimbali hapa nchini, ikiwa ni...
View ArticleUJUMBE: TAFSIRI YA ZINAA - MWALIMU MITIMINGI
Mwalimu Peter Mitimingi, akifundisha vijana katika semina kubwa iliyofanyika juzi kanisa la TAG Mwenge jijini Dar es salaam.Tafsiri ya Zinaa:1. Zinaa ni tabia yoyote ya kingono au inayompelekea mtu...
View ArticleMARAFIKI WAUNGANA KUSAKA VIBAKA WALIOIBA KINANDA CHA THAMANI CHA MPIGAJI WA...
Lungelo akiwa anapapasa kinanda chake kabla ya kuibiwa wiki janaAliyekuwa mpigaji wa kinanda cha kati piano wa kundi la Joyous Celebration Lungelo Ngcobo amejikuta katika wakati mgumu jumamosi...
View ArticleSHOW ME MORE NDIO CHAGUO LA GK JUMAPILI NI KIWANGO KINGINE
Leo katika chaguo la GK tunakuletea ladha ya tofauti kidogo ya ile iliyozoeleka. Ni wimbo wa aina ya kufoka foka ama Rap kutoka kwa kijana Timo Justine a.k.a T-More anakwambia 'Show Me More' ikiwa kazi...
View ArticleSOMO: UNDANI WA MAOMBI (6 & 7) - MCHUNGAJI MADUMLA
Kusoma sehemu iliyopita Bonyeza Hapa(II) MAOMBI YA SIFA NA KUABUDU.Bwana Yesu asifiwe…Sifa na kuabudu ni mojawapo ya aina ya maombi ambapo mwombaji hutumia muda wake kusifu na kuabudu jina la Bwana...
View ArticlePICHA ZA AWALI KILICHOJIRI AFLEWO 2016 CCC UPANGA
Weekend hii kwa wakai wa Dar es Salaam ilikuwa ya aina yake, kwani Ijumaa ilitumika kumuabudu Mungu kwenye Kanisa la TAG City Christian Center, Upanga. Kusanyiko la waamini walifika hapa kama...
View ArticleTANZIA: GLORIA MULIRO AFIWA NA BABA YAKE MZAZI
Gloria na marehemu baba yake, David Muliro ©Fb/Gloria MuliroMuimbaji wa nyimbo za Injili nchini Kenya, Gloria Muliro amepatwa na pigo maishani baada ya kufiwa na baba yak mzazi, GK...
View ArticleKANISA LA UFUFUO NA UZIMA LAKANUSHA TAARIFA ZA KUFUTIWA USAJILI NCHINI
Askofu mkuu wa kanisa la Ufufuo na Uzima Duniani Dkt Josephat GwajimaBaada ya kuwepo ama kuzagaa taarifa za kufutiwa usajili wa kanisa la Glory of Christ Church International almaarufu kama Ufufuo na...
View ArticleNYOTA WA JOYOUS CELEBRATION AZIDI KUPATA MAFANIKIO
Mwimbaji nyota kwasasa wa Joyous Celebration kijana Sibusiso Noah Mthembu ambaye amepata mafanikio ya kukubalika katika medani ya muziki wa injili nchini humo kwakupata mialiko mingi sambamba na kuwa...
View ArticleDIAMOND JUBILEE YAWA TAYARI KWA SEMINA KUBWA HII LEO
Maandalizi ya semina kubwa ya siku mbili ambayo huenda ikaweka historia nchini kwa mahudhurio na mapokeo ya watu watakao hudhuria yameonekana kukamilika kama picha zinavyoonyesha hapo chini. Semina...
View ArticleHIVI PUNDE: JOYOUS 21 KUREKODIWA MAREKANI KWA T.D JAKES
Sehemu ya wapigaji Joyous20 Jijini Durban, ambayo GK ilihudhuria. (Picha zaidi)Habari za hivi punde ambazo zimeifikia Gospel Kitaa zinaeleza kwamba ni rasmi albamu ya 21 ya kundi la Joyous Celebration...
View ArticleAFRIKA YAZIDI KUJIUNGA BAADA YA KUZINDUA HATI MOJA YA KUSAFIRIA
Ile mipaka iliyowekwa miaka mingi iliyopita, kutenganisha kwa mistari iliyonyooka katika kujigawia rasilimali kwa wakoloni sasa inaelekea kuzidi kupanguliwa baada ya Umoja wa Afrika (AU) kuzindua hati...
View ArticleTANZIA KWA KWAYA MAARUFU NCHINI WAIMBAJI WAKE WAKONGWE WATATU WAAGA DUNIA
Marehemu Charles Sokoro wa AIC Makongoro choir MwanzaWiki iliyoisha imeacha majonzi kwenye tasnia ya muziki wa injili nchini baada ya waimbaji na wapigaji watatu kutoka kwaya tofauti wameitwa kutoka...
View ArticleSIKU YA ENGAGEMENT YA KIJANA WA GOSPEL KITAA KATIKA PICHA
Hatimaye Gospel Kitaa imeanza kumeguka kwenye suala la ubachela, baada ya mmoja wao, Director John Maulid kumvisha pete ya uchumba mwanadada Jacquline Jijini Arusha.Tukio hilo ambalo limefanika mapema...
View ArticleHOJA: TUSIMLAZIMISHE MUNGU KUFANYA MAPENZI YETU
Askofu Sylvester Gamanywa akihudumu BCIC Mbezi BeachSiku hizi tunaishi katika ulimwengu wa ibada na huduma za maombezi ambayo maelfu ya watu wanahudhuria kwa ajili ya kumtafuta Mungu awatatulie...
View Article