SOMO: UNDANI WA MAOMBI (3) - MCHUNGAJI MADUMLA
Na Mchungaji Gasper MadumlaKusoma sehemu iliyopita BONYEZA HAPABwana Yesu asifiwe…Karibu tena,Kumbuka; tunaendelea kujibu lile swali,kwa nini tunaomba?03.Tunaomba kwa sababu ya kuimarisha imani...
View ArticleSOMO: DUNIA IMEHARIBIKA, NA KILA MWENYE MWILI AMEJIHARIBIA NJIA YAKE
Mambo mengi yanayofanyika ndani ya maisha ya mwanadamu siyo sawa na vile Mungu anavyotaka ambapo kila moja ameishika njia yake potofu na inawezekana msomaji wa ujumbe huu na wewe njia yako imeharibika...
View ArticleMABINTI 19 WAUWAWA KIKATILI KWA KUWAKATALIA MAGAIDI NGONO
Mji uliokuwa na takriban watu milioni mbili na nusu kwamujibu wa sensa ya mwaka 2014, ni mji ambao unashuhudia mauaji ya kila namna kila iitwapo leo, na hivi karibuni, mauaji ya mabinti 19 wa Jamii ya...
View ArticleSOMO: MIKATABA (MAAGANO) YA DAMU - ASKOFU GWAJIMA
Askofu mkuu Dkt Josephat Gwajima Ufufuo na UzimaMIKATABA (MAAGANO) YA DAMUKifungo au mkataba mkubwa kuliko yote ni kifungo/mkataba wa damu, kile kifungo/mkataba uliokufunga wewe ukaitwa mwana wa Mungu...
View ArticlePATA CHAGUO LA GK LENYE VIWANGO KUTOKA KWAYA YENYE VIWANGO
Baadhi ya wababa kwaya ya MKC wakiwajibika wakati wakirekodi video mpya ©MKCChaguo la GK jumapili ya leo tupo maeneo ya Mwananyamala Kisiwani jijini Dar es salaam ndani ya kanisa la Pentekoste ambako...
View ArticleSOMO: UNDANI WA MAOMBI (4) - MCHUNGAJI MADUMLA
Na Mchungaji Gasper MadumlaBwana Yesu asifiwe…Karibu tuendelee kujifunza,leo tunaingia katika kipengele cha tatu,hiki ni kipengele kipya tunachokianza leo;03.AINA ZA MAOMBI.Zipo aina nyingi za maombi...
View ArticleHARUSI YA DADA YETU MTANZANIA NA SHEMEJI MGHANA ILIVYOTIA FORA UINGEREZA
Sio siku yake kwa tukio kama hili kwa upande wa GK kuweka taarifa za harusi bali imetubidi kukufahamisha kuhusiana na video fupi ya harusi iliyotokea kutazamwa sana na watu kupelekeana kupitia mtandao...
View ArticleSOMO: ULICHOKIOTA KITAONEKANA - ASKOFU GWAJIMA
Askofu Dkt Josephat Gwajima wa Ufufuo na UzimaNeno ndoto limeandikwa mara 86 ndani ya Biblia. Lakini Jumla ya ndoto zilizootwa ndani ya biblia ni ndoto 23 na watu walioota ndoto hizo ni watu 15 tu...
View ArticleCHAGUO LA GK NI WIMBO UNAOPENDWA NA KUREKODIWA NA WAIMBAJI WENGI AFRIKA YA...
Leo tupo nchini Afrika ya kusini katika kukuletea chaguo la GK, kuna waimbaji wengi nchini humo ila leo tumekuchagulia mwanakaka Sechaba Pali ambaye katika wimbo huu wa kitabuni licha ya kuwahi kuuimba...
View ArticleTAMASHA LA 'GOD FAVOURS ME' KATIKA PICHA KUTOKA MOSHI
KILIMANJARO - MOSHI KUMEKUCHA ANGA YOTE IMEJAWA NA NGUVU YA SIFA NA KUABUDU KAMA NENO LISEMWAVYO BWANA HUKETI KATIKA SIFA. Haya yote yamejiri katika moja ya kanisa mkoani Kilimajaro liitwalo BETHELI...
View ArticleTAMASHA LA USIKU WA AMANI KATIKA PICHA KUTOKA KARATU
Usiku wa Amani ni usiku wa kumsifu na kumtukuza Mungu wetu Tamasha limefanyika katika Ukumbi wa wakorea Karatu Tamasha lilikuwa la Tofauti sana watu waliweza kumsifu Mungu kwa uwimbaji kikosi cha Rhema...
View ArticleMAKALA: KUTANA NA WORSHIP IN ADVANCE (WIA) KUTOKA DODOMA
Sehemu ya waimbaji wa Worship in Advance, Dodoma.Worship in Advance Connection (WIA Connection) ni kikundi kilichoanza kama kikundi cha sifa na kuabudu kilichojumuisha wanafunzi wa vyuo vikuu...
View ArticleSOMO: UNDANI WA MAOMBI (5) - MCHUNGAJI MADUMLA
Na Mchungaji Gasper MadumlaKama ni msomaji mpya unaweza kusoma sehemu iliyopita kwa kubonyeza HAPABwana Yesu asifiwe……utagundua kwamba,maombi ya kushukuru yana nguvu sana kwa yule anayeshukuru kwa...
View ArticleCHAGUO LA GK BADO KITAMBO KIDOGO KUTOKA KWA KWAYA KONGWE NA BORA NCHINI
Kupitia chaguo la GK jumapili ya leo ni katika kukutia moyo wewe msomaji wetu ambaye unapitia magumu na mapito mbalimbali katika dunia hii. Kumbuka bado kitambo kidogo mambo yote yatakuwa sawa tena cha...
View ArticleHABARI PICHA: USIKU MAALUM WA SAXOPHONE ULIVYOFANYIKA
Ulikuwa ni usiku wa kipekee na kwa wale waliopata nafasi ya kuhudhurua hawatousahau.Tunauzungumzia usiku wa ibada maalum wa saxophne ambapo ibada iyo iliandaliwa na Misericordias Mushi katika katika la...
View ArticleTAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU SHABACH PRAISE SEASON 4 ARUSHA KATIKA PICHA
RHEMA WORSHIP TEAM KATIKA UBORA WAO WA SHABACH PRAISE SEASON 4 AMBAYO HUFANYIKA KILA MWISHO WA MWEZI KATIKA KANISA LA FPCT CITY CHURCH - KIMAHAMA HILI TAMASHA LA NNE SASA AMBALO WANAFANYA WAKISINDIKIWA...
View ArticleWORSHIP HOUSE WAZURU NCHINI MAREKANI
Kundi maarufu la injili la Worship House kutoka Limpopo Afrika ya kusini, limeondoka jana kuelekea nchini Marekani ambako limepata mwaliko wa kihuduma. Kundi hilo limeondoka na baadhi ya waimbaji wake...
View ArticleSEMINA YA NENO LA MUNGU KATIKA PICHA
SEMINA YA NENO LA MUNGU INAYOENDELEA KATIKA KANISA LA KKKT (DKAK) JIMBO LA ARUSHA MASHARIKI USHARIKA WA ENGARENAROK MNAENDELEA KUKARIBISHWA WATU WA MUNGU KUANZIA SAA NANE HA SAA KUMI NA MBILI JIONI...
View ArticleSOMO: UNDANI WA MAOMBI (6) - MCHUNGAJI MADUMLA
Muumini katika maombi ©beliefnet Na Mchungaji Gasper MadumlaKusoma sehemu iliyopita Bonyeza Hapa(II) MAOMBI YA SIFA NA KUABUDU.Bwana Yesu asifiwe…Sifa na kuabudu ni mojawapo ya aina ya maombi ambapo...
View ArticleBABA AMCHOMA MWANAYE MPAKA KIFO KWA KUBADILI DINI
Kijana akiwa katika hali ya maombi (si kijana aliyechomwa) ©ChristianteensMwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Abubakar Malagara (36) raia wa nchini Uganda na muumini wa dini ya kiislamu amemuua...
View Article