Ulikuwa ni usiku wa kipekee na kwa wale waliopata nafasi ya kuhudhurua hawatousahau.Tunauzungumzia usiku wa ibada maalum wa saxophne ambapo ibada iyo iliandaliwa na Misericordias Mushi katika katika la KKKT Mbezi Beach siku ya ijumaa juni 24 mwaka 2016.
Mbali na watu walihudhuria pia vikundi vya uimbaji pamoja na waimbaji binafsi walikuwepo katika usiku huo akiwemo mpiga saxophone Moses Mangwa, Christina Shusho, Sam Yonah, Angel Magoti, Sarah Ndosi Shila,Vijana Kwaya KKKT Ubungo, Mbezi Beach Praise Team na Glorious Worship Team.
![]() |
Watu wakisebeneka |
|
GK Tulikuwepo kuletea tukio zima Ungana Nasi katika picha.
![]()
![]() |
Christina Shusho Katika uimbaji wake |
![]() |
Moses Mangwa katika upigaji wake wa Saxophone |
![]() |
Mise akipiga Selfie pamoja na wapiga saxophone wenzake |
![]() |
Mke wa Mise akiwa uweponi |
|
![]() |
Mise Katika upigaji wake wa Saxophone |
![]() |
Kwaya ya vijana KKKT Ubungo |
![]() |
Sam Yonah Katika uimbaji |
![]() |
Glorious Worship Team katika jukwaa |
|
Kwa picha zaidi
Bofya hapa GK Tunapatika kupitia mitandao ya kijamii @Gospel Kitaa