Usiku wa Amani ni usiku wa kumsifu na kumtukuza Mungu wetu Tamasha limefanyika katika Ukumbi wa wakorea Karatu Tamasha lilikuwa la Tofauti sana watu waliweza kumsifu Mungu kwa uwimbaji kikosi cha Rhema Worship Team kilifanya vyema sana kuakikisha watu wanafunguliwa kwanza kupitia uimbaji watu wengi waliweza kuombewa na wachungaji waliotoka sehem mbalimbali Tamasha lilihudhuliwa na kwaya mbalimbali kutoka karatu waimbaji binafsi wa karatu Waimbaji wa Arusha Alikuwepo Ester Yohana, Jenipher Sita,Mnene Makweta na B Zablon Wandaaji wakuu wa hili Tamasha ni Habari Maalum Fm
Gospel kitaa nayo iliweza kuweka kambi katika Tamasha hilo na hizi ni baadhi ya habari piha.