Quantcast
Channel: Gospel Kitaa™
Browsing all 1245 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUMEUONA MKONO WA BWANA NDIO CHAGUO LA GK KUTOKA KWA DOUBLE E

Chaguo la GK siku ya leo, tumekuchagulia kutoka kwa waimbaji ambao ni wanandugu wa familia Esther pamoja na Evelyn Ikingo  wanaounda kundi la Double E. Waimbaji hawa walitamba na wimbo uitwao 'Yesu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA PICHA ZA TAMASHA LA KUONGEA NA RAIS MTARAJIWA UWANJA WA ZAMANI WA TAIFA

Siku ya jumapili iliyoisha katika uwanja wa mpira wa Uhuru zamani kama uwanja wa Taifa jijini Dar  es salaam, kulifanyika tamasha kubwa la uimbaji lenye lengo la kuzungumza kupitia uimbaji na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOJA: KAULI TATA MAARUFU ZENYE KUKINZANA NA NENO LA MUNGU

Askofu Sylvester Gamanywa,Mwangalizi MKuu, WAPO Mission International.Hoja ya leo nimeona niwasilishe baadhi ya “kauli tata” ambazo ni maarufu sana kwa waumini wa madhehebu ya dini kwa kudhaniwa kwamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUDHARAU NDOTO YA MTU SIO TIKETI YA NDOTO YAKO KUFANIKIWA

Picha ya Rais wa Marekani Barack Obama enzi hizo kabla ndoto haijatimia akiwa Kenya ©naijNa Faraja Naftal Mndeme, GK Contributor.KUDHARAU NDOTO YA MTU SIO TIKETI YA NDOTO YAKO KUFANIKIWA. Maisha bila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMO:UVUMILIVU NI NGAZI YAKO YA MAFANIKIO - MCHUNGAJI MADUMLA

Mchungaji Gasper MadumlaBwana Yesu asifiwe…Kila mtu chini ya jua anapenda kufanikiwa kiroho na kiuchumi pia katika nyanja mbali mbali za maisha. Mimi sijawahi kuona mtu anayechukia mafanikio yake yeye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAPA AKUTANA KWA SIRI NA MCHUNGAJI ALIYEKATAA NDOA ZA MASHOGA NA KUMTAKA...

Papa Francis na Mchungaji Kim Davis©boingboingMchungaji Kim Davis aliyepata umaarufu mkubwa nchini Marekani kwa msimamo wake wa kukataa kutoa hati ya ndoa kwa wapenzi wa jinsia moja amekutana na mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWA TAARIFA YAKO: RAIS ALIVYOIKABIDHI NCHI KWA MUNGU

Haya msomaji wetu wa Gospel Kitaa karibu katika kipengele chetu maalumu ''KWA TAARIFA YAKO'' ambacho kinakujia kila siku za alhamisi ndani ya GK kikiwa na lengo la kukupatia habari ambayo iliwahi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMO: MWALI WA MOTO WA MADHABAHU - ASKOFU GWAJIMA

SOMO: MWALI WA MOTO WA MADHABAHUWaamuzi 13:20“Kwa maana, ikawa, mara huo mwali wa moto ulipopaa juu mbinguni kutoka pale madhabahuni, huyo malaika wa Bwana akapaa katika mwali wa moto wa madhabahu; nao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEEKEND WORSHIP NDANI YA CCC JUMAMOSI HII

Hii ni Ibada ya kusifu na kuabudu inayofanyika kila Jumamosi ya kwanza ya kila mwezi na asilimia 99% ya Hii ibada ni uimbaji unaomtukuza na kumwinua Mungu. Na hivyo Ibada hii ni kwa kila mtu wa dini,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI PICHA: NAMNA CHRISTIAN FASHION DAY ILIVYOFANYIKA KATIKA JIJI LA ARUSHA

ilikuwa ni siku ya jumamosi tarehe 26 mwezi huu wa tisa katika ukumbi wa New Safari Hotel amabapo yalifanyika maonyesho wa mavazi ambayo yalitengenezwa na vijana kwa lengo la kuonyesha ubunifu wao wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAGUO LA GK: HAVE YOUR WAY YAKE ANGEL BENARD (MRS SAKAFU)

Uhali gani mdau wa GK, wiki hii Chaguo la GK linatoka kwa Angel Benard (muite Mrs Sakafu). Wimbo wake wa Have Your Way kutoka album ya Need You to Reign. Wimbo huu ni wa kipekee, pale unapomsihi Mungu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI PICHA: TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TANZANIA LILIVYOFANA

Mama Salma Kikwete akiingia uwanjani pamoja na msafara wake.Tamasha la kuombea amani Tanzania limetimia. Jumapili ya tarehe 4 Oktoba 2015, zikiwa zimesalia siku 20 kuingia chumba cha kufanya maamuzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMO: MADHARA 7 YA HOFU YA KUTOA ZAKA ZETU KWA BWANA

Mchungaji Peter Mitimingi, mkurugenzi wa huduma ya Sauti ya Matumaini VHMMADHARA 7 YA HOFU YA KUTOA ZAKA ZETU KWA BWANA1. Hofu hutujengea mazingira kwamba nikitoa zaka huenda nitapungukiwa.2. Hofu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJITOKEZA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TANZANIA

Kwaya ya Mt. Andrew kutoka Anglikana Msalato, Dodoma kwenye tamasha la kuombea amani ya Tanzania 2015 Jijini Dar es Salaam. Bofya kwa picha zaidiKila mwaka Watanzania wamekuwa wakipata fursa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMO: NAMNA YA KUFIKISHA HABARI NJEMA ZA YESU KWA WATU WENGI MAHALI ULIPO

Mfano katika picha watoto wakifundishwa neno la Mungu ©imgarcadeUKITAKA KUFIKISHA HABARI NJEMA ZA YESU KWA WATU WENGI MAHALI ULIPO,TUMIA WATOTONa Mchungaji Gasper MadumlaBwana Yesu asifiwe…Leo ninakupa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMO: SABABU CHACHE ZINAZOTUFANYA TUHESHIMU WALIOTUTANGULIA

Na Faraja Naftal Mndeme, GK ContributorSABABU CHACHE ZINAZOTUFANYA TUHESHIMU WALIOTUTANGULIAI. USHAURI WAO NI BORA.“Wahenga walisema ukimwona Nyani Mzee Ujue Amekwepa Mishale Mingi” . Maisha tulio nayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWA TAARIFA YAKO TAMTHILIA YA EMPIRE ILIVYOANZA KUWACHEFUA WAKRISTO MAREKANI

Haya msomaji wetu wa Gospel Kitaa karibu katika kipengele chetu maalumu ''KWA TAARIFA YAKO'' ambacho kinakujia kila siku za alhamisi ndani ya GK kikiwa na lengo la kukupatia habari ambayo iliwahi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMO: ADUI NDIYE KAKUPANDISHA MLIMANI, LAKINI UTASHUKA KWA USHINDI

King Sam.Shalom Wana wa Mungu aliye hai;JE unajuwa Adui ndiye amesababisha wewe kuupanda huo Mlima unaopanda Leo katika maisha yako hiyo shida uliyonayo ni Mlima huo ugonjwa ni Mlima huo umasikini ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMO: MADHABAHU YA LAANA - ASKOFU GWAJIMA

SOMO: MADHABAHU YA LAANAHesabu 22: 1-6“Kisha wana wa Israeli wakasafiri na kupanga katika nchi tambarare za Moabu ng'ambo ya pili ya Yordani karibu ya Yeriko. Na Balaki mwana wa Sipori akaona mambo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKUKUU YA VIJANA ILIVYOADHIMISHWA T.A.G AZIMIO REVIVAL ARUSHA

Tarehe 4 Oktoba ilikuwa siku ya kihistoria kwa Tanzania Assembliues of God. Upekee wa siku hiyo unatokana na maadhimisho ya siku ya vijana ambayo hufanyika kila mwaka. T.A.G Azimio Revival Christian...

View Article
Browsing all 1245 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>