
ilikuwa ni siku ya jumamosi tarehe 26 mwezi huu wa tisa katika ukumbi wa New Safari Hotel amabapo yalifanyika maonyesho wa mavazi ambayo yalitengenezwa na vijana kwa lengo la kuonyesha ubunifu wao wa
mavazi.
Ni siku ambayo wabunifu wa mavazi wa kikristo bila kujali dhehebu au tofauti za mfumo wao wa ibada wanakutana kujadili na kuzungumzia maswala muhimu yanayohusu mavazi stahiki na muonekano sahihi unaomfaa mkristo.
kulikuwa na wabunifu wa mavazi tofauti tofauti yakiwemo kitenge gunia unga nasi katika picha kujionee kile kilichojiri hiyo siku
ungana nasi zaidi katika picha
Kujua mengi kuhusu Christian Fashion Day bofya hapa?
Isack Jonas akipokea cheti kwaajili ya ubunifu wa mavazi kutoka Benis Product
Muda wa sebene
Isack Jonas akipokea cheti kwaajili ya ubunifu wa mavazi kutoka Benis Product
Joshua Bavuma pamoja na Naomi wakipokea cheti cha ubunifu wa mavazi ya kitenge gunia
Mbunifu wa mavazi kutoka jiji la Dar es salaam anitwa limmy akipokea cheti cha ubunifu wa mavaziMuda wa sebene