Quantcast
Channel: Gospel Kitaaâ„¢
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1245
↧

MWANZA WALIVYOSIFU NA KUABUDU KATIKA PICHA

$
0
0
Mchungaji Barnabas Phillip wa kanisa la Heritage of Faith (HFCC) Arusha katikati ya tabasamu la kumsifu Mungu
Tarehe 5 Oktoba ni siku ambayo ilikuwa na matamasha mbalimbali maeneo tofauti nchini, John Lisu alikuwa Diamond na Uko Hapa, Elias Kubeha naye alikuwepo na uzinduzi huko Kitunda, na pia kulikuwa na ratiba ya tamasha ya Worship in your Presence kwenye ukumbi wa kanisa la CCC, kabla halijasogezwa mbele hadi 25 Disemba. Wakati hayo ni kwa upande wa Dar es Salaam, huko Mwanza kulikuwa na 'Mwanza Tuabudu Tena', ambapo Mise Anael akiongozana na watumishi mbalimbali kutoka Arusha, na Dar es Salaam (akiwemo Miriam Lukindo wa Mauki) pamoja na wenyeji wao walienda kulisifu na kulitukuza jina la Yesu kwa njia ya uimbaji.

GK imefuatilia tamasha hili kwa karibu, na hapa inakuletea picha za kilichojiri kwenye ukumbi wa hoteli ya Golden Crest, kwa hisani ya waandaaji. Tuwe sote.



NENO muhimu


Ni shangwe kwa kwenda mbele










Na sasa ikawa zamu ya Misericordias Anael
























Ahsante Yesu sasa tumemaliza

↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1245

Latest Images

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>