ISIS WACHINJA WATU KUMI NA KUMSHUKURU MUNGU WAO
Baadhi ya wanakikundi wa kundi la kigaidi la ISIS ©Vice NewsKama kuna jambo ambalo linaendelea kuumiza vichwa vya watu, basi ni uwepo wa kundi la kigaidi linalojiita ISIS - Islamic State of Iraq and...
View ArticleTAZAMA MAZOEZI YA JOHN LISU KILA KITU KIPO TAYARI, KESHO DIAMOND
kama ukishindwa kufika katika uzinduzi wa dvd ya Uko hapa ya John Lisu basi utakuwa umekosa jambo la muhimu sana. Unachoweza kusema kwa swala la mziki na vocal limekamilika kwa asilimia 99 na hiyo moja...
View ArticleSHANGWE ZA GK NI JAMES TEMU NA SIA KIMARO WAMEPENDEZA
Jumamosi iliyopita ya tarehe 27 September ilikuwa ya vifijo na nderemo pale mtangazaji wa kipindi cha Chomoza kinachorushwa na runinga ya Clouds Tv na mmiliki wa blog ya unclejamestemu , kijana James...
View ArticleWORSHIP IN YOUR PRESENCE YASOGEZWA KUPISHA 'UKO HAPA' YA LISU
Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam na vitongoji vyake walikuwa wanajishauri ni namna gani watajigawa siku ya Jumapili kwa ajili ya yaliyokuwa matamasha mawili makubwa, La kwanza likiwa la uzinduzi wa...
View ArticleLICHA YA TISHIO LA KUUWAWA, WAKRISTO WAENDELEA KUJITOKEZA HADHARANI IRAQ
Baadhi ya waumini nchini Iraki wakiwa ibadani Licha ya tishio la kuuwawa kwa wakristo huku ikielezwa wapiganaji wa kundi la ISIS - Islamic State of Iraq and Syria, nchini Iraki wanakaribia kuingia mji...
View ArticleUJUMBE: SAA YA KUHARIBIWA - KING SAM
SAA YA KUHARIBIWAKulishika NENO kutakuokoa;Ndugu zangu katika kristo Yesu nawasalimu katika Jina la Yesu kristo;Unajuwa kwamba tupo katika saa ya uharibifu?ndugu zangu uharibifu tayari upo duniani ni...
View ArticleCHAGUO LA GK KAZI MPYA YA KIMATAIFA KUTOKA KWA MTANZANIA
Chaguo la GK hii leo, tumekuchagulia video mpya ya wimbo 'Nakung'ang'ania' ya kwake mwanamama Milca Kakete Mtanzania mwenye makazi yake nchini Canada, wimbo huu umetokea kupendwa na wengi waliosikiliza...
View ArticleMAANDALIZI TAMASHA MWANZA SAFI, MAMBO YOTE SAA NANE MCHANA GOLDEN CREST
Ni usiku mkali, lakini ndio wakati muafaka wa kufunga vyombo kwa ajili ya asubuhi kila kitu kuwa sawa, na hapa tesing mbili tatu zinafanyika. Kisha asubuhi kuwe na testing nyingine ya mwisho. Lakini...
View ArticleHOJA: HEKIMA YA MASKINI HUDHARAULIWA (3)
Katika toleo lililopita (soma hapa) tulichambua habari za “hekima ya masikini yenyewe sio maskini”, na kisha tukagusia kuhusu “maskini walivyo soko la matajiri” na tuliishia kwenye kipengele cha...
View ArticlePICHA ZA AWALI ZA UKO HAPA YA JOHN LISU ILIVYOFANA
Kati ya mambo ambayo utakuwa unakiri moja kwa moja, ni kwamba John Lisu ni nguli wa muziki wa injili nchini. Kwa takribani zaidi ya dakika 45 Lisu alitumia vema madhabahu kwa kupangilia sauti na vyombo...
View ArticleTUMAINI [SHANGILIENI] WAVAMIA UMASAINI JIMBONI KWA LOWASSA KIINJILI
Mchungaji Andrew Kajembe wa St James pamoja na Askofu Stanley Hotay wakiwa ibadani.Kwaya kongwe nchini ya Tumaini (Shangilieni) kutoka kanisa la Kianglikana la Mtakatifu James Kaloleni Arusha, siku ya...
View ArticleSOMO: MADHARA YA KUFANYA MAMBO YA KUKOSESHA - ASKOFU KAKOBE
Askofu Zachary Kakobe.Leo, tunajifunza Biblia kutoka katika MATHAYO 18:5-14. Ingawa kichwa cha somo letu la leo ni “MADHARA YA KUFANYA MAMBO YA KUKOSESHA“, kuna mengi zaidi ya kujifunza katika mistari...
View ArticleJINSI YA KUTAMBUA KAMA UNA LAANA YA KUTOOLEWA
BWANA YESU asifiwe!Karibu ujifunze kitu hapa ambacho kitakusaidia kuweza kufuta laana za kukuzuia kuolewa/kuoa.Laana ni kitu kinachokushika ili usifanye jambo Fulani jema.Laana ni mfano wa ndege...
View ArticleMWANZA WALIVYOSIFU NA KUABUDU KATIKA PICHA
Mchungaji Barnabas Phillip wa kanisa la Heritage of Faith (HFCC) Arusha katikati ya tabasamu la kumsifu MunguTarehe 5 Oktoba ni siku ambayo ilikuwa na matamasha mbalimbali maeneo tofauti nchini, John...
View ArticleMWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR AFUTWA KAZI
Aliyekuwa mwanasheria mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman, akipiga kura kwenye Bunge Maalum la Katiba, Oktoba 1, 2014RAIS wa Zanzibar na Mweneyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed...
View ArticleROSE MUHANDO SASA AJA NA JIWE
Muimbaji maarufu namba moja wa Afrika Mashariki wa nyimbo za injili amefyatua kibao cha pili kingine kilichotengenezwa katika studio za Sony Music Africa, ambapo kibao cha kwanza kiliitwa Wololo...
View ArticleURAHISI WA NJIA SIO UHAKIKA WA SAFARI
Na Faraja Naftal Mndeme. Maisha yetu ya kila siku muda mwingine yamekuwa hayana dira sababu ya kukosa mwelekeo sahihi wa kufanya vitu na kuviendeleza huku tukidhani kwamba hii ndio njia sahihi, na huo...
View ArticleMWANAMKE MPIGANAJI SYRIA ATOROKA BAADA YA KUSHUHUDIA MWANAUME AKICHINJWA
Wanajeshi wa kundi la ISIS wakiingia kwa maandamano ya magari mitaa ya mji wa Raqqa June 30 mwaka huu kusherehekea kutawala mji jirani nchini Iraq©ReutersMwanamke mmoja ambaye alikuwa ni mwalimu wa...
View ArticleKWA TAARIFA YAKO HII NDIO TAKWIMU YA WANAUME WAKIKRISTO NA PICHA ZA NGONO
Haya msomaji wetu wa Gospel Kitaa karibu katika kipengele chetu maalumu ''KWA TAARIFA YAKO'' ambacho kinakujia kila siku za alhamisi ndani ya GK kikiwa na lengo la kukupatia habari ambayo iliwahi...
View ArticleRAIS KIKWETE NA SHEIN WAKABIDHIWA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA SHANGWE
Marais Dkt. Jakaya Kikwete na Dkt Ali Shein mara baada ya kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa. Iwapo wananchi wataipigia kura ya ndio, basi itasomeka kama Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya...
View Article