SOMA RASIMU YA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA NA BUNGE MAALUM
Sehemu ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kabla ya kundi la UKAWA kutoka njeHabari kutoka Dodoma mdau wa GK, mjadala wa katiba mpya unaendelea kutoka bunge maalum, na mivutano pia ikiwemo - ndani na...
View ArticleTB JOSHUA AELEZA KILICHOSABABISHA JENGO LAKE KUANGUKA
Mtume TB Joshua wa kanisa la Church of All Nations nchini Nigeria, jumapili iliyopita aliweka bayana kilichosababisha jengo la hosteli ya kanisa lake kuanguka na kuua watu zaidi ya 100 akiweka wazi...
View ArticleTOBA YA KWELI NI KUZINGATIA KUACHA DHAMBI TOKA MOYONI MWAKO
Mtumishi Gaspel Madumla.Bwana Yesu asifiwe...Imeandikwa;"Alipozingatia moyoni mwake, alisema, Ni watumishi wangapi wa baba yangu wanaokula chakula na kusaza, na mimi hapa ninakufa kwa njaa.Nitaondoka,...
View ArticleCHAGUO LA GK NI ALBUM MPYA YA KWETU PAZURI (VOL 10)
Katika chaguo la GK jumapili ya leo tumekuwekea baadhi ya nyimbo kutoka katika DVD ya 10 ya kundi la Ambassadors of Christ ya Rwanda kanisa la Sabato Remera, ambao katika DVD hii wameimba baadhi ya...
View Article'A NEW DAY' KUANZIA SAA KUMI WORD ALIVE
I need you to Reign, yaani nahitaji utawale ndio video itakayoambatana na uzinduzi wa albamu ya New Day Jumapili ya leo, 28 Septemba - kutoka kwa mwanadada Angel Bernard, kuanzia saa kumi jioni Word...
View ArticleBUNGE MAALUM UKINGONI, OMBEA KILA HATUA
Makamu mwenyekiti wa Bunge Maalum, Mhe. Samia Suluhu HassanHatimaye baada ya kamati za Bunge Maalum kumaliza kuwasilisha mapendekezo na marekebisho ambayo wanaona yanafaa kwa ajili ya rasimu ya katiba...
View ArticleANGEL BERNARD AFUNGA KAZI WORD ALIVE CENTER, PICHA 10 ZA AWALI
"Anajua sana, Yupo vizuri sana, Huyu ni level nyingine, I love you" hayo nibaadhi ya maneno ambayo GK imefanikiwa kuyasikia kutoka kwa watu ambao wameudhuria uzinduzi wa albam ya kwakwe Angel Bernard...
View ArticleHOJA: HEKIMA YA MASKINI HUDHARAULIWA (2)
Katika toleo lililopita tulianza makala mpya ya “Hekima ya masikini hudharauliwa, wala maneno yake hayasikilizwi. Humo tulichambua vipengele viwili tu ambavyo ni: “Yaliyoandikwa katika Biblia ni halisi...
View ArticleKUTOKA MAKANISANI: MKESHA WA KUSIFU NA KUABUDU BCIC
Mwendesha Shughuli, MC King ChavalaWiki hii kutoka makanisani tuko BCIC Mbezi Beach, ambako kumekuwepo mkesha mkubwa wa kusifu na kuabudu, ukihusisha pia maombi ya ujazo wa Roho Mtakatifu. Ibada hiyo...
View ArticleSARAH SHILLA NA YAHWE LIVE RECORDING KATIKA PICHA
Sarah akiwa amezama kwenye kumuabudu Mungu.Mwisho wa wiki kumekuwa na matukio mbalimbali jijini Dar es Salaam, ambapo Mungu amerudishiwa sifa na utukufu kupitia uimbaji. Na kati ya matukio hayo, lipo...
View ArticleSOMO: SABABU ZA KUUGUA - ASKOFU KAKOBE
Askofu mkuu Zachary Kakobe.Bwana ametupa neema tena siku hii ya leo, kuendelea kujifunza Kitabu cha YOHANA katika Biblia zetu. Leo, tutatafakari kwa makini YOHANA 8:48-59, na YOHANA 9:1-5. Kichwa cha...
View ArticleKANISA LAGAWA LAKI NANE KWA KILA MUUMINI WAKE
Picha ya kanisa pamoja na mchungaji kiongozi Laura Truax ©gma.yahooKanisa moja huko Chicago nchini Marekani lijulikanalo kama LaSalle Street Church limegawa kiasi cha dola 500 sawa na takribani...
View ArticleNYARAKA MUHIMU KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA
Mwenyekiti wa BUnge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel SittaKati ya mambo ambayo mwananchi hatakiwi kupitwa nayo, ni kuhusu mchakato unaoendelea wa kutapa Katiba Mpya, nawe kama mfuatiliaji wa vyombo vya...
View ArticleCASFETA UDSM INAKUKARIBISHA UPYA KWENYE USHIRIKA
Christ Abassadors Student Fellowship Tanzania, ama kwa ufupi CASFETA ni jina ambalo karibu kila mwanafunzi nchini analifahamu. Ushirika huu wa wanafunzi wa Kikristo una matawi maeneo mbalimbali, na...
View ArticleMAKOSA YAKO YA JANA NDIO MAFANIKIO YAKO YA LEO
Hakuna mtu ambaye ameishi kwenye sayari hii katika siku zote za uhai wake bila kukosea kwenye jambo lolote. Mafanikio yote tunayoyaona leo yametokana na makosa mengi ambayo watu waliyafanya siku za...
View ArticleANGALIA WAIMBAJI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA JAPAN WAKIIMBA MKOANI TANGA
Angalia baadhi ya picha za kundi la kusifu na kuabudu kutoka kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Japan ambao wapo mkoani Tanga katika mkutano wa injili ulioandaliwa na tawi la kanisa hilo mkoani Tanga...
View ArticleSHETANI KURUDISHA ALICHOKUIBIA, NI WEWE KUPIGANIA MATEKA WAKO
Ukiona Mtu ni mgonjwa ujuwe ni Mtu aliye ibiwa afya yake,ukiona Mtu ni masikini ujuwe ni Mtu aliye ibiwa mafanikio yake,ukiona Mtu anamateso ujuwe ni Mtu aliye ibiwa uhuru wake,Isaya 42:22...
View ArticlePICHA 100 ZA A NEW DAY YA ANGEL BERNARD ILIVYOKUWA
Baada ya kupata wakati mzuri wa kutazama picha kumi za awali (Gonga hapa kuziona) katika uzinduzi wa album yake Angel Bernard iitwayo A New Day. GK inakupa wakati mwingine utazame picha mia moja...
View ArticleKWA TAARIFA YAKO: MTUNZI WA WIMBO MAARUFU WA DINI ANAYEPIGA MZIKI WA DUNIA PIA
Haya msomaji wetu wa Gospel Kitaa karibu katika kipengele chetu maalumu ''KWA TAARIFA YAKO'' ambacho kinakujia kila siku za alhamisi ndani ya GK kikiwa na lengo la kukupatia habari ambayo iliwahi...
View ArticleSIKILIZA ALICHOKISEMA SITTA KUHUSU MAASKOFU
Sikiliza alichokisema Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta kuhusu maaskofu, na tamko ambalo wamehusika kulitoa ukizungumzia kutopendezwa na namna mchakato wa katiba...
View Article