BASATA YAWATAKA WAIMBAJI NYIMBO ZA INJILI KUJISAJILI
Na Mwandishi Wetu Ephraim Sekeleti kwenye tamasha la pasaka Jijini Mwanza (bofya kuona picha)BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limezidi kutoa wito kwa Waimbaji wa muziki wa Injili kujisajili katika...
View ArticleDINA MGOMERA ASHUKURU WADAU WALIOJITOKEZA UZINDUZI WAKE
Dina Mgomera.Mara baada ya kumaliza tukio la uzinduzi wa albumya DVD yake ya 'Nina Haja Nawe', Dina Mgomera ameamua kuwashukuru wadau wa muziki wa Injili waliojitokeza kwa wingi tofauti na...
View ArticleHOJA: TOFAUTI KATI YA AJIRA NA KAZI
Na Askofu Sylvester Gamanywa,WAPO Mission International.Toleo la wiki hii nimekusudia kufafanua misamiati ya maneno kati ya “ajira’ na “kazi” ili kuweza kuweka bayana njia bora ya kuinua uchumi binafsi...
View ArticleMWENYEKITI WA KWAYA AJERUHIWA KWA MAPANGA NA MAJAMBAZI AKIELEKEA HUDUMANI
Siku ya jana tukiwa tunajiandaa na huduma ya mbez beach mishale ya alfajiri mwenyekiti wetu Bestus kalokola(kakobe ) wakati akitoka nyumban kwake Sinza Mori kuja church ili tuelekee mbez beach MAJAMBAZ...
View ArticleMWALIMU MWAKASEGE NDANI YA JIJI LA ARUSHA
Kama unafikiria namna ambavyo umeanza mwaka kitofauti na kwa mawazo, basi waweza kubadilisha hiyo hali uliyonayo kwa kuhudhuria mafundisho ya Neno la Mungu yanayoletwa kwako na Mwalimu Christopher...
View ArticleSOMO: PASIPO MUNGU HUWEZI KUBARIKIWA - MTUMISHI SAM
Na Mtumishi SamPASIPO MUNGU HAUTAWEZA KUBARIKIWAMwanzo 25:23BWANA akamwambia, Mataifa mawili yako tumboni mwako, Na kabila mbili za watu watafarakana tangu tumboni mwako. Kabila moja litakuwa hodari...
View ArticleSOMO: VITU VITAKAVYOKUWEZESHA UITUMIE IPASAVYO MAMLAKA ULIYOPEWA NA MUNGU -...
SEMINA YA NENO LA MUNGUVITU VITAKAVYOKUWEZESHA UITUMIE IPASAVYO MAMLAKA ULIYOPEWA NA MUNGU.NA MWL MWAKASEGEARUSHA MJINI UWANJA WA RELITAR 24-JANUARY-2016DAY 1Marko 11: 27-28 ‘’ 27Wakafika tena...
View ArticleSOMO: KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU (5) - MCHUNGAJI MADUMLA
Mchungaji Gasper MadumlaKusoma sehemu iliyopita Bonyeza Hapa.Endelea.....Karama hii imepangwa kwenye kundi la karama za uwezo,kwa sababu inahusisha nguvu katika utendaji wake wa kazi. Hivyo inajulikana...
View ArticleKWA TAARIFA YAKO : JOYOUS WANAPOMUWEKA MTU BENCHI KUTAFUTA UBORA
Haya msomaji wetu wa Gospel Kitaa karibu katika kipengele chetu maalumu ''KWA TAARIFA YAKO'' ambacho kinakujia kila siku za alhamisi ndani ya GK kikiwa na lengo la kukupatia habari ambayo iliwahi...
View ArticleSOMO: VITU VITAKAVYOKUWEZESHA UITUMIE IPASAVYO MAMLAKA ULIYOPEWA NA MUNGU -...
SEMINA YA NENO LA MUNGU VITU VITAKAVYOKUWEZESHA UITUMIE IPASAVYO MAMLAKA ULIYOPEWA NA MUNGU.NA MWL MWAKASEGEARUSHA MJINI UWANJA WA RELIDAY 2⃣TAR 25-JANUARY-2016Kusoma sehemu iliyopita BONYEZA...
View ArticleNAKUPENDA NDIO CHAGUO LA GK KUTOKA KWA THE WORSHIPPERZ ARUSHA
Katika chaguo la GK hii leo tupo jijini Arusha ambako tunakutana na moja ya kundi linalozidi kushika kasi katika medani ya kumwinua Mwokozi wa ulimwengu. Kundi hili si lingine bali ni The Worshipperz...
View ArticleSOMO: JANGWA HALITANIZUIA - MCHUNGAJI KILIMA
SOMO: JANGWA HALITANIZUIAMchungaji John KilimaKutoka 14:3…Nae Farao akasema katika habari za wana wa Israeli wametatanishwa katikati ile jangwa imewazuia wasitoke…….- Kuna jambo laweza kumpata...
View ArticleSOMO: VITU VITAKAVYOKUWEZESHA UITUMIE IPASAVYO MAMLAKA ULIYOPEWA NA MUNGU -...
SEMINA YA NENO LA MUNGU..VITU VITAKAVYOKUWEZESHA UITUMIE IPASAVYO MAMLAKA ULIYOPEWA NA MUNGU.NA MWL MWAKASEGEARUSHA MJINI UWANJA WA RELIKusoma sehemu iliyopita BONYEZA HAPA...
View ArticleMWANACHUO MTANZANIA ASULUBIWA NA KUCHOMEWA GARI NCHINI INDIA
Mabaki ya gari alilokuwa akiendesha Mtanzania ©DailyOMtanzania mmoja aishie India, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kushambuliwa na kuchomewa gari yake, kisha kutembezwa uchi, kama adhabu ya kosa...
View ArticleWAZIRI MKUU KUSHUHUDIA USIMIKWAJI ASKOFU MKUU WA EAGT
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye tukio la kumsimika rasmi Askofu Mkuu wa Pili wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania, Dkt. Bruno A Mwakipesile.Tukio...
View ArticleSOMO: KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU (6 & 7) - MCHUNGAJI MADUMLA
Mchungaji Gasper MadumlaBwana Yesu asifiwe…Kusoma sehemu iliyopita Bonyeza hapaKaribu tuendelee kujifunza;04.SIFA KUU ZA KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU.Kila karama ya Roho mtakatifu ina sifa yake ya kipekee...
View ArticleCHAGUO LA GK NI KUTOKA KWA WANA WA FURAHA GANI TOKA ST JAMES ARUSHA
Katika chaguo la GK kwa siku ya leo tupo jijini Arusha kwa mara nyingine, safari hii tunakupa wimbo mzuri uitwao "Sisi tumetenda dhambi" kutoka kwaya kongwe ya Upendo kutoka St. James Kaloleni Arusha...
View ArticlePICHA ZA AWALI: DODOMA KULIVYOFANA TUKIO LA KUSIMIKWA KWA ASKOFU MKUU EAGT
Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) imekuwa na tukio kubwa na la kipekee. Marafiki wa EAGT ndani na nje ya nchi walitiririka kutoka pande zote kuhudhuria tukio la kihistoria la kusimikwa kwa...
View ArticleROSE MUHANDO RASMI TAMASHA LA PASAKA KANDA YA ZIWA
Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili Afrika Mashariki, Rose Muhando amekuwa wa pili kuthibitisha kushiriki katika Tamasha la Pasaka linalotarajia mikoa ya Geita, Mwanza na Wilaya ya Kahama.Kwa mujibu wa...
View ArticleHOJA: TUACHE HOFU BALI TUWE TAYARI HATA KUFA
Askofu Sylvester Gamanywa,Mwangalizi Mkuu, WAPO Mission International ©ebibleteacherWiki hii nzima kwenye vipindi vya TUAMKE PAMOJA kupitia WAPO Radio nimewasilisha jumbe mbali mbali zenye kuwaandaa...
View Article