TAMKO LA JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA KUHUSIANA NA MUSWADA WA MAHAKAMA YA KADHI
Hili ni TAMKO jipya la Juzi March30~2015,baada ya Mh.Rais Kuongea ile Majuzi ambapo alisema Maaskofu waliongea maneno yale kwa hasira.TAMKO LA JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA KUHUSIANA NA MUSWADA WA...
View ArticleSOMO:UHUSIANO WA VITI VYA ENZI NA MAFANIKIO YAKO (4 & 5) - MWALIMU...
Mwalimu Christopher MwakasegeKaribu katika mwendelezo wa dondoo za somo la Uhusiano wa viti vya enzi na mafanikio yako kama lilivyofundishwa na mwalimu Christopher Mwakasege mapema mwezi March mwaka...
View ArticleSOMO: WATU HAWASEMI, LAKINI WANAAMBIANA
Na Faraja Naftal Mndeme,GK Contributor. Mara nyingi kwenye maisha yetu ya kila siku tumeona watu wanakuwa wanatunyamazia kwa namna moja au nyingine kuhusu swala/jambo fulani linalokuhusu wewe binafsi,...
View ArticleTAZAMA VIDEO YA ASKOFU GWAJIMA AKIZUNGUMZA NA WAUMINI WAKE JANA
Tazama video hii ambayo Askofu Josephat Gwajima akizungumza na waumini wake katika kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Kawe Tanganyika Packers jijini Dar es salaam hapo jana. Ambapo kwa mujibu wa...
View ArticleKWA TAARIFA YAKO : NABII ALIYESEMA ANGEFUFUKA BAADA YA KIFO CHAKE, ALIPATA...
Haya msomaji wetu wa Gospel Kitaa karibu katika kipengele chetu maalumu ''KWA TAARIFA YAKO'' ambacho kinakujia kila siku za alhamisi ndani ya GK kikiwa na lengo la kukupatia habari ambayo iliwahi...
View ArticleUJUMBE MUHIMU KUTOKA KWA KING SAM
SHALOM MWANA WA MUNGU ALIYE HAI;MUNGU ANAJUWA NJIA YA WEWE KUTOKA KATIKA MAHALI ULIPO ANAJUWA NJIA YA WEWE KUFANIKIWA NAJUWA MUDA WA WEWE KUPATA MTOTO,YOTE MUNGU ANAJUWA USILAUMU KATIKA HALI ULIYO NAYO...
View ArticleMSAMA PROMOTIONS YATOA MISAADA KWA YATIMA
Katika kuelekea sikukuu ya pasaka, kampuni ya Msama Promotions imetoa vyakula mbalimbali ikiwemo unga, mchele, mafuta, na mbuzi lengo ikiwa ni kuwasaidia watoto yatima na watu waishio katika mazingira...
View ArticleMTOKO WA PASAKA NA GLORIOUS WORSHIP TEAM
Kama unadhani uwanja wa taifa ni mbali na hauwezi kufika, ama kama unadhani uwanja utajaa na kwamba utakosa nafasi. Basi Mtoko Jumapili uko pamoja na Glorious Worship Team ndani ya Victoria Service...
View ArticleMASHAMBULIZI CHUO KIKUU GARISSA
Alhamisi, tarehe 2. Nikiwa mpakani Namanga kutokea Nairobi Kenya, nakutana na taarifa ya TV ambayo inaonyesha kwamba Chuo Kikuu cha Garissa kiko kwenye mashambulizi. Habari hiyo ambayo ninaipata mida...
View ArticleNENO LA LEO
NENO LA LEO"Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yako yote, na kuwa na afya yako kama roho yako ifanikiwavyo"(3Yohana 1:2).Mambo ya kujifunza:1. "Mpenzi ninaomba..."* Yesu anatuombea sisi.Ni raha...
View ArticleSOMO: NENO HILI NI GUMU - ASKOFU KAKOBE
Askofu Zachary KakobeSiku ya leo ya Kuichambua Biblia, inatupelekea kuzidi kujifunza Kitabu cha YOHANA katika Biblia zetu. Leo tunajifunza YOHANA 6:60-71, na YOHANA 7:1-16. Ingawa kichwa scha somo letu...
View ArticleHISTORIA KUANDIKWA JUMAPILI HII JIJINI DAR ES SALAAM,USIKOSE
Siku ya jumapili hii katika ukumbi wa Makumbusho ya taifa Posta mkabala na chuo cha fedha cha IFM jijini Dar es salaam, kunatarajiwa kufanyika tukio kubwa la aina yake wakati ambao kwaya ya Amkeni...
View ArticleHOJA: MAMBO MATATU YA KUPEWA KIPAUMBELE KATIKA MAOMBI - ASKOFU GAMANYWA
Mambo makuu matatu ya kupewa kipaumbele katika maombi Wakati tunapoadhimisha kifo na kufufuka kwa Bwana Yesu, nimeona leo nikuwasilishe ufunuo ambao nimeupata wa kutusaidia kuboresha imani zetu na...
View ArticleMATUKIO YA KWAYA ZETU NCHINI WAKATI WA SIKUKUU YA PASAKA
Hizi ni baadhi ya picha tulizozipata za matukio ya baadhi ya kwaya zetu nchini ambazo zilishiriki ibada za Ijumaa Kuu mpaka kufufuka kwa Yesu Kristo ama sikukuu ya Pasaka. Kuna kwaya zilizosafari...
View ArticleSOMO: UHUSIANO WA VITI VYA ENZI NA MAFANIKIO YAKO (6 & 7) - MWALIMU...
Karibu katika mwendelezo wa dondoo za somo la Uhusiano wa viti vya enzi na mafanikio yako kama lilivyofundishwa na mwalimu Christopher Mwakasege mapema mwezi March mwaka huu katika Viwanja vya Jangwani...
View ArticleUKIZIMIA SIKU YA TAABU YAKO NGUVU ZAKO NI CHACHE
Na Faraja Naftal Mndeme,GK Contributor.Kila mtu kwenye maisha hupitia nyakati mbali mbali ambazo huwa ngumu na rahisi lakini kila mtu kwa wakati wake hufanikiwa kuvuka nyakati hizo ngumu akiwa salama...
View ArticleTANZIA: MTOTO WA MCHUNGAJI MUNISI AFARIKI DUNIA ARUSHA
Marehemu Raheli E. MunisiTaarifa za kusikitisha ambazo Gospel Kitaa imezipata ni kuhusu kifo cha Raheli Emmanuel Munisi, ambaye ni binti wa Mchungaji kiongozi wa kanisa la T.A.G Azimio Revival...
View ArticleNENO LA LEO - ALHAMISI
NENO LA LEO"Itakuwa kabla hawajaomba nitajibu, wakiwa katika kusema nitasikia" (Isaya 65:24).Mambo ya kujifunza:1. Mungu hajawahi kuchoshwa na maombi ya watu.Mungu anataka kujibu maombi yako kuliko...
View ArticleKWA TAARIFA YAKO: MWIMBAJI ALIYEHAMA NA WIMBO WA KUNDI MAARUFU LA MUZIKI WA...
Haya msomaji wetu wa Gospel Kitaa karibu katika kipengele chetu maalumu ''KWA TAARIFA YAKO'' ambacho kinakujia kila siku za alhamisi ndani ya GK kikiwa na lengo la kukupatia habari ambayo iliwahi...
View ArticleARUSHA CITY GOSPEL HIP HOP CONCERT KATIKA PICHA
Jumatatu ya Pasaka (Tar 6 Aprili) Jijini Arusha, kumefanyika tamasha lililopwa jina la Arusha City Gospel Hip hop concert, katika kanisa la Evangelism & Discipleship kambi ya Chupa Madukani...
View Article