Ester Ibrahim |
Ester kwa sasa yuko kwenye maandalizi ya kurekodi album ya pili, ambapo ya kwanza aliitoa mnamo Novemba 2014. Tunapomaliza mwezi wa tano na kuukaribisha mwezi Juni kuanzia kesho, basi tunamaliza mwezi na Ester.
Tunakutakia Jumapili yenye baraka. Kama uko Dar, leo Sunday Celebration inakuhusu pale Victoria Service Station, kama uko Tanga, basi Sacrifice of Praise inakuhusu kwa sana tu. Barikiwa!