Quantcast
Channel: Gospel Kitaa™
Browsing index pages (1245 articles)
↧

JANETH LUSHINGE SALAMA ROHONI MWANGU

Ambatana nasi kwenye ukurasa wetu wa facebook kwa habari zaidi. www.facebook.com/gospelkitaa

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU ARUSHA (UJAZO)

UJAZO...ibada ya uponyaji Kupitia Music na Ushuhuda halisi wa maisha yangu...ku survive Kifungo katika nchi za ugenini..misukosuko ya ujana.. kupambana na sheria za nchi za ugenini na kukombolewa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARIBU TUUPOKEE 2017 MARANACHA CHRISTIAN CENTER

Uko Jijini Arusha? Unajiandaaje kuupokea mwaka 2017? Kama bado unajifikiria namna gani utaupokea, basi taarifa njema kwako ni kutoka Maranatha Christian Center kwa Askofu Eric Mukwenda.Mkesha huo ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIFA ZA YERIKO DAR ES SALAAM NI JUMAPILI HII CCC UPANGA

SIFA ZA YERIKO KUFANYIKA DAR ES SALAAM JUMAPILI HII 11/12/2016KATIKA UKUMBI WA CITY CHRISTIAN CENTRE UPANGA (CCC) KARIBU NA CHUO KIKUU CHA MZUMBE TAWI LA DAR ES SALAAMTAMASHA LITAANZA SAA 9 MCHANA NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIFA ZA YERIKO ARUSHA IJUMAA HII TAREHE 9/12/2016

SIFA ZA YERIKO NI IJUMAA HII TAREHE 9/12/2016 KATIKA UKUMBI WA KANISA LA NEW LIFE CHURCH (MAARUFU KWA EGON) KWA IDDKUANZIA SAA 8 MCHANA NA KUENDELEAKAWAIDA 5,000 VIP 20,000KARIBUNI SANAAmbatana nasi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAIMBAJI WATATU KWETU PAZURI YA RWANDA WAPOTEZA BABA YAO HAPO JANA

Milly na Kaka yake Jimmy siku wazazi wao walipotimiza miaka kadhaa ya ndoa yaoWaimbaji watatu ambao ni ndugu wa kundi la Ambassadors of Christ ya Rwanda almaarufu kama 'Kwetu Pazuri, Jimmy, Betty...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGOBEKEZELA NDIO CHAGUO LA GK KUTOKA KWA GWIJI WA INJILI ALIYELALA MAUTI

Katika chaguo la GK hii leo tupo na gwiji wa muziki wa injili Afrika ya kusini aliyelala mauti miaka kadhaa iliyopita kwa ugonjwa wa kansa ajulikanaye kwa jina la Vuyo Mokoena, mwimbaji ambaye uimbaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMO:NAMNA YA KUOMBEA HALI YA KIROHO YA ARDHI ILI UFANIKIWE KIMAISHA. (4&5)

4⃣SIKU YA NNE YA SEMINA YA NENO LA MUNGU-IRINGA NA MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE(MANA MINISTRY)LENGO:Kujifunza mbinu za kuomba ili hali ya kiroho ya ardhi iliyokwamisha mafanikio yako iondoke ili uweze...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAGUO LA GK: HI HANYA MAHALA KUTOKA KWA MERCY NDLOVU (JC16)

Mercy Ndlovu ManqeleTunatumai u mzima mdau wa Gospel Kitaa kwa Jumapili ya leo tarehe 6 Novemba 2016. Tukiwa tunahesabu siku kumaliza mwaka, karibu kwenye Chaguo la GK, ambapo leo tunaye Mercy Ndlovu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMO:NAMNA YA KUOMBEA HALI YA KIROHO YA ARDHI ILI UFANIKIWE KIMAISHA (2&3)

SEMINA YA MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE(MANA MINISTRY)-IRINGA:LENGO: Kujifunza mbinu za kuomba ili hali ya kiroho ya ardhi iliyokwamisha mafanikio yako iondoke ili uweze fanikiwa.HATUA  ZA KUFANYA ILI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKWELI NI KWAMBA 'HATULEGEI' NJOO PTA SABASABA HAKUNA KIINGILIO

Hatimaye baada ya kusubiri kwa muda mrefu,  kazi njema kabisa iliyoandaliwa na kwaya mahiri katika medani ya muziki wa injili nchini Dar es salaam Gospel Choir (D.G.C) kutoka kanisa la Pentecostal...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YANYAKUA TUZO MBILI ZA KIMATAIFA KATIKA NYANJA YA MUZIKI WA INJILI

Nyota wa muziki wa injili nchini mwanamama Upendo JBride zamani Upendo Kilahiro amezidi kuipeperusha vyema bendera ya mwanakondoo baada ya kunyakua tuzo mbili nchini Marekani ndani ya mwezi October...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAMNA YA KUOMBEA NDOTO ZILIZOGUSA MAISHA YAKO (6&7)

Mwalimu Christopher MwakasegeLENGO LA SOMO NI KUIMARISHA UHUSIANO WAKO NA MUNGU KATIKA KRISTO YESU>>Kazi ya Mungu ukiifanya kunakuwajibika ndani yake, yaani si kwamba wewe unaeifanya hiyo kazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJUMBE: KUSHINDWA PAMBANO SI KUSHINDWA VITA

Askofu Sylvester GamanywaWAPO Mission International.Mnara wa mashujaa wa vita vya Kagera. ©SeeTheAfricaKushindwa katika pambano sio lazima ndio kushindwa vita! Wakati wa vita majeshi yanayopigana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABA NA U NDIO CHAGUO LA GK NI KIWANGO 'LIVE' KUTOKA LAGOS NIGERIA

Paul Chisom UdoChaguo la GK hii leo tupo jijini Lagos nchini Nigeria ambako tunakutana na kaka matata kwenye huduma ya muziki wa injili anayefahamika kwa jina la Paul Chisom Udo a.k.a PC. Wimbo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMO: NDOA ZA KICHAWI - ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA

Maana halisi ya ndoa kwenye Biblia.Ndoa ndio mahala pekee duniani ukijumlisha moja na moja unapata jibu n moja,kwa maana hiyo kama mwanandoa mmoja ni mbovu na mwingine ni mzuri wakiwa kwa pamoja wote...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SOMO:NAMNA  YA KUOMBEA HALI YA KIROHO YA ARDHI ILI UFANIKIWE KIMAISHA*(1)

1⃣  *SEMINA YA NENO LA MUNGU--IRINGA MJINI**NA: MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE**SIKU YA KWANZA**TAR 19 OCTOBER 2016**LENGO LA SOMO: KUJIFUNZA TUPATE KUJUA NAMNA YA KUOMBA ILI HALI YA KIROHO YA ARDHI ILIYO...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI MWENDO WA KUSIFU NA KUABUDU JUMAPILI HII ARUSHA

Unaposikia ya kwamba uimbaji utakuwa live basi moyo unaanza kusuuzika, unapotambua ya kwamba waandaji wa tamasha ni Habari Maalum Media basi moyo unaazaa kundunda mbiombio kuombea siku ifike mapema uwe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAMNA YA KUOMBEA NDOTO ZILIZOGUSA MAISHA YAKO (4&5)

Diana na Christopher MwakasegeLENGO LA SOMO:Kuimarisha Uhusino Wako Na Mungu Katika Kristo YesuJAMBO LA NNE  LA KUZINGATIA.- Kuombea tafsiri ya ndoto husika kusikusahaurishe kuombea  Ujumbe ulio bebe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMENIFANYIA AMANI NDIO CHAGUO LA GK WIKI HII KUTOKA KWA PAUL CLEMENT

"Amenifanyia amani kaondoa huzuni yangu amenifanyia amani", ni baadhi ya maneno yanayopatikana katika wimbo 'Amenifanyia Amani' kutoka kwa kijana Paul Clement wimbo mpya kabisa wa injili kutoka kwa...

View Article
Browsing index pages (1245 articles)


Latest Images